Comments

Fahamu Jinsi Ya Kulala Na Mwanamke

fahamu jinsi ya kulala na mwanamke, siku zote wanaume wamekuwa wakilala na wake zao kwa mazoea bila kutambua ni jinsi gani wanatakiwa kufanya wakiwa kitandani.
1,hakikisha kitanda chako umekiweka upande wa ukutani
2,kama una mtoto mchanga hakikisha anakuwa wa kwanza kulala hasa upande wa ukutani 
3,baada ya hapo anatakiwa afuate mwanamke
4,mwisho mwanaume ndo unatakiwa ufuate hi ni kwa sababu wewe ndiyo mlinzi wa familia.
N.B kama ulikuwa hujui fahamu sasa siku zote baba unatakiwa kuwa wa mwisho kulala


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos