Comments

Ajali mbaya imetokea leo eneo la Tegeta, Dar Wawili wajeruhiwa

Mtu mmoja amekatika miguu na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya lori  moja kugongana uso kwa uso na gari la abiria aina ya Coaster linalofanya safari kati ya Ubungo, Tegeta katika eneo la Tegeta Dar es Salaam.
Taarifa ya kituo cha ITV imesema mafundi gereji wa Tegeta walifanya jitihada kutumia vifaa vyao kukata mabati ya gari ili kuwatoa watu walionasa ndani ya gari iliyokuwa na abiria.
Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamilius Wambura amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuahidi kutoa taarifa zaidi kuhusu baadaye baada ya uchunguzi kufanyika.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos