Msanii wa rnb kutoka Tanzania amelalamikia ‘Hongo’ kwenye muziki baada ya kutoa wimbo mpya ‘Sophia’ hivi karibuni.
Kupitia twitter na instagram yake Ben ameonyesha kukerwa na kitendo cha msanii kutoa pesa ili wimbo upate kuchezwa kwenye kituo cha radio.






0 comments:
Post a Comment