Hatimaye baba mzazi wa mastaa wa muziki wa Nigeria mapacha Peter na Paul Okoye, Mzee Moses Okoye aliyefariki November 24, 2014 amezikwa jana Ijumaa January 30, 2015 huko nyumbani kwao Ifitedunu, Anambra State.
Tazama picha za safari ya mwisho ya mzee huyo Mr Moses Okoye.
0 comments:
Post a Comment