Comments

Vanessa Mdee ( Vee Money) kutwaaTuzoTena



Vanessa Mdee a.k.a Vee Money amekuwa mwanamuziki wa pili Tanzania kupata akaunti ya VEVO kwaajili ya kuweka video zake.
VEVO ni mtandao mkubwa namba moja duniani unaohusika kuhifadhi na kurusha kazi za wanamuziki maarufu duniani kama kina Nicki Minaj, Beyonce, Jay Z na wengine. 

Gosby ndiye alikuwa msanii wa kwanza wa kizazi kipya kupata akaunti kwenye mtandao huo unaomilikiwa na kampuni kubwa za muziki duniani Universal Music Group (UMG), Google, Sony Music Entertainment (SME) na Abu Dhabi Media.

Wanamuziki wengi wa Afrika Kusini na Nigeria kama Mafikizolo, D’Banj tayari wana akaunti kwenye mtandao wa Vevo.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos