Comments

Hali si shwari kwa Wachimbaji wadogo wa madini shinyanga


Wachimbaji wadogo wa madini aina ya Dhahabu, walioko katika eneo la ishinabulanda katika manispaa ya shinyanga wameiomba serikali kutoa msaada wa vifaa kwa ajili ya shughuli za uchimbaji na uchenjuaji wa madini hayo pamoja na mikopo yenye riba nafuu ili kuboresha uzalishaji na kukuza kipato cha wananchi na taifa kwa ujumla.

Wito huo umetolewa na mkurugenzi wa kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya shinyanga Best,Bw.Kashi Salula ambapo amesema serikali imekuwa ikiwaahidi mikopo lakini haifawafikii walengwa hivyo kujikuta wakiendelea kuchimba kwa kutumia dhana zisizokikuwa na tija katika uzalishaji wa dhahabu.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos