Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa.
Akizungumza Irene amesema mahusiano yake na Jaguar yapo japo hajafanya maamuzi ya kuolewa.
“Jaguar hakuja kuna vitu ambavyo vilitokea vikasababisha asije,” amesema mrembo huyo. “Kila siku naongea naye na uamuzi wake upo pale pale. Mimi mwenyewe bado sijafanya maamuzi ya kusema niolewe lakini akija ndo tutaongea kila kitu.”
Haya hivyo Irene amesema hawezi kuzungumzia ndoa yake na mcheza soka wa Rwanda, Ndikumana waliyezaa naye mtoto mmoja aitwaye Krish.
“Sasa kuhusu hilo nisingependa kuliongelea, mimi nadhani sijui hata nisemeje, sipendi kuongelea mambo yangu binafsi.”
Add a comment
3 comments
Related Items
← Previous Story New Video: Ice Boy Ft. Barakah Da Prince -Thamani
Next Story → Video: Cheka kwa kumsikia DJ Khaled akiongea Kiswahili kwenye ‘Hold You Down’
Leave a Reply
Your email address will not be published.
Name
Email
Website
CAPTCHA Code *
Comment
Follow us
58266
297967
47055
27885
15577
Advertisement
Now Trending
Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake... 16,097 views
Hutaamini alichopost Youtube msichana huyu wa Kenya kumtongoza Diamond ‘I am ready to... 6,811 views
Jux awajibu waliohoji kwanini hajawahi kupost picha yoyote akiwa chuo anakosoma nchini China 5,837 views
Picha: Miaka 10 ya THT yaadhimishwa kwa kishindo Escape One 4,705 views
Mr. Okoye (Baba yao P-Square) aliyefariki Nov 24, 2014 Kuzikwa leo Jan... 4,406 views
Older posts Archives
Copyright © 2006-2015 Bongo5 Media Group.
Home
Privacy Policy
Search
Contact Us
“Jaguar hakuja kuna vitu ambavyo vilitokea vikasababisha asije,” amesema mrembo huyo. “Kila siku naongea naye na uamuzi wake upo pale pale. Mimi mwenyewe bado sijafanya maamuzi ya kusema niolewe lakini akija ndo tutaongea kila kitu.”
Haya hivyo Irene amesema hawezi kuzungumzia ndoa yake na mcheza soka wa Rwanda, Ndikumana waliyezaa naye mtoto mmoja aitwaye Krish.
“Sasa kuhusu hilo nisingependa kuliongelea, mimi nadhani sijui hata nisemeje, sipendi kuongelea mambo yangu binafsi.”
Add a comment
3 comments
Related Items
← Previous Story New Video: Ice Boy Ft. Barakah Da Prince -Thamani
Next Story → Video: Cheka kwa kumsikia DJ Khaled akiongea Kiswahili kwenye ‘Hold You Down’
Leave a Reply
Your email address will not be published.
Name
Website
CAPTCHA Code *
Comment
Follow us
58266
297967
47055
27885
15577
Advertisement
Now Trending
Older posts Archives
Copyright © 2006-2015 Bongo5 Media Group.
Home
Privacy Policy
Search
Contact Us

0 comments:
Post a Comment