Polisi nchini SWITZERLAND wamesema garimoshi MBILI za abiria zimegongana Kaskazini mwa nchi hiyo na kujeruhi watu 5 ambapo wawili kati yao wako katika hali mbaya. Dereva moja wa garimoshi hizo amejeruhiwa vibaya.
Ajali hiyo imetokea katika eneo la RAFZ kilimota 30 Kaskazini mwa mji wa ZURICH. Magari ya uokoaji yameonekana yakikimbilia katika eneo la tukio kuwasaidia majeruhi wa ajali hiyo.
Ajali hiyo imetokea katika eneo la RAFZ kilimota 30 Kaskazini mwa mji wa ZURICH. Magari ya uokoaji yameonekana yakikimbilia katika eneo la tukio kuwasaidia majeruhi wa ajali hiyo.
Polisi wanendelea na uchunguzi kubaini chanzo cha ajali hiyo.

0 comments:
Post a Comment