Msanii wa Bongo Fleva,ambaye pia ni mlemavu wa ngozi (albino) Keisha amezungumza kwa uchungu kwenye kipindi cha Leo Tena kuhusiana na matukio ya mauaji ya Albino yanayoendelea hapa nchini,
Kila binadamu ana haki ya kuishi hivyo serikali inatakiwa kutilia mkazo katika kutokomeza mauaji dhidi ya albino na sio kuweka siasa mbele, wasanii wengine waliokuwepo ni Kajala,Shamsa Ford,Mwasiti na wengineo.







0 comments:
Post a Comment