Comments

Makamu wa Rais Dr.Mohamed Gharib Bilali amelaani vikali vitendo vya mauaji na kudhuru watu wenye ulemavu wa ngozi yaani albino

Makamu wa Rais Dr.Mohamed Gharib Bilali amelaani vikali vitendo vya mauaji na kudhuru watu wenye ulemavu wa ngozi yaani albino na kusema kuwa serikali inawasaka wahusika wa vitendo hivyo na pindi itakapowakamata itahakikisha wanachukuliwa hatua kali za kisheria ili iwe funzo kwa wengine.
Akizungumza kwa hisia kali katika maadhimisho ya siku ya Skauti duniani Dr.Bilali amesema vitendo hivyo havivumiliki kamwe na vimekuwa vikiitia doa Tanzania kwa kuonekana kuwa vinara wa imani potofu ya kuwa viungo vya mwanadamu kuwa mtaji wa utajiri kitu ambacho hakipo katika nchi yoyote ile Duniani.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos