Mkurugenzi wa Mashtaka na Makosa ya Jinai Zanzibar amesema wananchi wanatakiwa kutoa ushahidi mahakamani kwa watu wanaofanya vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia
WANANCHI wametakiwa kutoa ushahidi mahakamani kwa watu wanaofanya vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kama ndiyo njia pekee ya kukomesha matukio hayo.Mkurugenzi wa Mashtaka na Makosa ya Jinai Zanzibar, Ibrahim Mzee alisema hayo wakati akipokea vifaa vilivyotolewa na shirika la watoto Save Children Fund kwa ajili ya kusaidia mwenendo wa kesi mahakamani.







0 comments:
Post a Comment