Comments

Mtangazaji wa Clauds Fm Gerald Hando, Alizwa na Vibaka wakomba power window,taa,redio kwenye gari yake

                         
Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm,Gerald Hando ameibiwa vifaa mbalimbali vya kwenye gari yake aina ya IST yenye namba za usajili T 794 CXC kama power window,redio,taa,redio na vitu vingine usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake maeneo ya Kijitonyama.

                 
Akizungumza kwa uchungu Hando amsema kuwa aliamka asubuhi na kuangalia gari lake kisha kukuta limeibiwa kila kitu na halifai kabisa. ‘’Nilipoamka asubuhi sikuamini macho yangu yaani vibaka wameiba kila kitu kwenye gari yangu,hadi sasa sijawajua vibaka hao na sina mpango wa kwenda polisi na nitanunua tu vingine ila wanirudisha nyuma kimaendeleo kiukweli,’alisema Hando.


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos