
Chris Brown na Tyga hawataki kupoteza muda, baada ya kutoa video ya wimbo wao uliopita ‘Ayo’ wiki hii, jana Ijumaa wametoa wimbo mwingine mpya ‘
B***hes N Marijuana’ kutoka kwenye album yao ya pamoja inayaosubiriwa kwa hamu.
Album hiyo “Fan of a Fan: The Album” inatarajiwa kutoka tarehe 24 mwezi huu (Feb).






0 comments:
Post a Comment