Comments

Nicki Minaj amethibitisha kuwa na uhusiano na Meek Mill kwa picha hii?

Je Nicki Minaj na rapper Meek Mill ni wapenzi ama sio wapenzi? hilo ni swali ambalo mashabiki wa Nicki wamekuwa wakijiuliza siku za karibuni. 
Kumekuwepo na uvumi kuwa Nicki Minaj huenda akawa ameanzisha uhusiano mpya na rapper Meek Mill baada ya kuachana na boyfriend wake wa tokea utotoni Safaree, Uvumi ambao Nicki aliukana mwaka jana.


Meek Mill na Nicki Minaj

Lakini kwa picha (hapo juu) aliyopost Nicki Jumatatu wiki hii kwenye Instagram yake, imetafsiriwa na wengi kwamba huenda huo ukawa uthibitisho kuwa ni wapenzi.

Rapper huyo wa Anaconnda hakuandika chochote kwenye picha hiyo.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos