Comments

Rich Mavoco awakomalia 'ma-producer'

Staa wa muziki Rich Mavoko amezungumzia suala la marekebisho ya mfumo wa malipo ya watayarishaji muziki hapa Bongo na kuweka wazi kuwa kwa upande wake anaona kuwa ni bora ubaki ulivyo.
Mavoko amesema hayo kutokana na faida ndogo ambayo bado wasanii wanapata kutoka katika rekodi zao.

Mavoko ambaye kwa sasa ni balozi wa kuhifadhi mazingira chini ya WWF amesema kuwa, anakubaliana na hatua ya watayarishaji muziki kupandisha bei, na si kuongeza nafasi za kujivunia pesa sambamba na vile kazi ya msanii inavyotumika, hatua ambayo kwa maoni yake itakuwa inaumiza pande zote mbili.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos