Comments

Afrika Kusini kinara-kriketi

Timu ya kriket ya Afrika Kusini, imeendelea kufanya vizuri katika michuano ya kombe la dunia la kriketi kwa kuichapa
Sri Lanka.

Afrika Kusini walipata ushindi kwa wiket nane dhidi ya mpinzani wake, na kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.

Ushindi wa kwanza mtoano katika miaka 23 ya kucheza Kombe la Dunia cricket Afrika Kusini inachukua yao ya kwanza ya nusu fainali tangu maarufu kushindwa kwa Australia mwaka 1999.

Mchezo unaofuata watakabiliana na kati ya New Zealand au West Indies katika mji Auckland siku ya jumanne.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos