Nchini HISPANIA, FC BARCELONA imeibuka na ushindi wa magoli MATATU kwa MOJA dhidi ya nyambizi ya VILLAREAL kwenye kombe la
Mabao ya FC BARCELONA yamefungwa na NEYMAR aliyefunga mabao MAWILI huku LUIS SUAREZ akifunga bao moja wakati goli pekee la VILLAREAL likifungwa na JONATHAN DOS SANTOS. Sasa FC BARCELONA watakutana na ATHLETIC BILBAO ambao jana wameibuka na ushindi wa magoli MAWILI kwa BILA dhidi ya ESPANYOL.







0 comments:
Post a Comment