Ajali hii imetokea asubuhi hii eneo la airport Arusha ambapo basi la Arusha express likielekea MBEYA kugongana na Lori lakini hakuna
aliyepoteza maisha ingawa watu wamejeruhiwa na kupelekwa hospital ya mkoa Mt Meru!

Endelea kutembelea hapa kwa taarifa zaidi
Endelea kutembelea hapa kwa taarifa zaidi









0 comments:
Post a Comment