Comments

Kamati ya maafa yatuhumiwa kuuza vifaa vya waathirika wa mafuliko mkoani Shinyanga.

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Shinyanga Bw.Khamis Mgeja amesikitishwa na utendaji kazi wa mkuu wa wilaya ya Kahama Bw.Benson Mpesya kwa kushindwa kusimamia kikamilifu kamati ya ugawaji chakula na vifaa hali iliyosababisha waathirika kugombea chakula na kulalamikia kuuzwa kwa magodoro na branketi zilizotolewa misaada na wahisani.

Hayo yamebinishwa wakati kamati ya maafa ya mkoa ikipokea misaada kutoka taasisi mbalimbali za fedha, mashirika na watu binafsi walioguswa na kutoa misaada ya chakula, magodoro na nguo ambapo mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Bw.Khamis Mgeja amesema kuwa endapo utendaji wa wakuu wa wilaya usipobadilika chama cha mapinduzi kitapata wakati mgumu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwa kuwa baadhi yao hawaendani na sera ya chama.

Akijibu tuhuma hizo mkuu wa wilaya ya Kahama Bw.Benson Mpesya amesema kuwa yeye hausiki na upotevu wa vifaa vinavyodaiwa kuibiwa na kuuzwa kwa watu wasiohusika na kusema kwamba rawama hizo zielekezwe kwenye kamati ya maafa ya ugawaji.

Kufatia hali hiyo mkuu wa mkoa wa Shinyanga Bw.Ally Nasoro Rufunga amelazimika kuingilia kati mgogoro huo na kuwaita wote kwa pamoja katika kikao cha zarula ambapo hakutaka kubainisha hatua zilizochukuliwa na kusema kwamba serikali imepokea maagizo ya kiongozi wa chama cha mapinduzi na kuyafanyia kazi kwa lengo la kuhakikisha waathirika wanapata huduma inay
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos