Comments

Korea Kaskazini yarusha makombora baharani

Wizara ya ulinzi nchini Korea Kusini inasema kuwa Korea Kaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa marefu kwenda
baharini eneo la pwani ya mashariki.


Kisa hicho kinaripotiwa wakati kukiwa na msukosuko katika rasi hiyo huku korea kusini na marekani wakiendelea mazoezi ya kijeshi ya kila mwaka.

Korea na marekani wanaseme kuwa mazoezi hayo ni ya kujlinda lakini korea kaskazini inayaona kuwa ya kutaka kuivamia.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos