Comments

Mahakama nchini marekani imewahukumu Robin thick & Pharrell williams kwa ku-copy wimbo wa Marvin Gaye "Got To Give It Up".

robin thick & pharrell williams
Mahakama nchini Marekani imetoa hukumu juu ya wimbo bora katika mauzo uitwao Got To Give it Up.

Hukumu hiyo imetolewa dhidi ya wanamuziki Robin Thicke na Pharrell Williams walionakili wimbo huo.
           
Katika hukumu hiyo mahakama moja ya mjini Los Angeles iliamuru kuwa wimbo wa Blaared Lines' ulioimbwa kwa ushirikiano wa Robin Thick na Pharrell Williams kwa kosa la kunakili wimbo wa Marvin Gaye uliowahi kutamba mwaka 1977 uitwao Got To Give It Up'.

Wanamuziki hao wawili wamehukumiwa kulipa dola za kimarekani zaidi ya milioni saba kama fidia kwa familia ya marehemu Marvin Gaye.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos