Chama cha Umoja wa Madereva Tanzania chasema mgomo rasmi wa Madereva nchi nzima utaanza Ijumaa endapo Serikali na Taasisi zake hazi
tashughulikia malalmiko yao,
kwa upandew wa Jeshi la Polisi Kikosi cha usalama barabarani kimesema kitendo cha madereva wa mabasi na malori nchini kuitisha mgomo si cha kiungwana.







0 comments:
Post a Comment