Comments

Dereva nambari moja duniani Lewis Hamilton ameibuka bingwa katika shindano la mbio za magari

Dereva nambari moja duniani Lewis Hamilton wa timu ya Mercedes ameibuka bingwa kwa mara nyingine katika shindano la mbio za magari ya
langalanga ya China Grand Prix.

Hamilton aliendesha kwa kasi zaidi na kufanikiwa kupata ubingwa huo huku dereva mwenzake wa timu hiyo Nico Rosberg akimaliza katika nafasiya ya pili.
Hata hivyo Rosberg amemlalamikia Hamilton kwa kujaribu kumrudisha nyuma katika kumkimbiza Sebastain Vettel wa timu ya Ferrari, madai ambayo yanapingwa vikali na Hamilton.

Nafasi ya tatu ilimwendeaa Sebastain Vettel wa Ferrari huku ya nne ikimangukia Kimi Raikkonen vilevile kutoka timu ya Ferrari.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos