Comments

Makaburi 12 ya halaiki yafukuliwa

Wataalamu wa kuchunguza maiti, wameanza kuyafukua zaidi ya makaburi 12 ya halaiki, katika mji wa
Tikrit, nchini Iraq.

Hatua hiyo imekuja siku kadhaa baada ya wapiganaji wa Islamic State, kutimuliwa nje ya mji huo.

Makaburi hayo yaanaminika kuwa na zaidi ya maiti elfu moja mia saba ya wanajeshi waislamu wa Kishia, waliouwawa vibaya mwezi Juni mwaka jana na wanamgambo wa I-S.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos