Benki ya wananchi wa DSM – DCB imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 363.3 kwa wajasiriamali zaidi ya
362 wa mkoani DSM mwaka jana.
362 wa mkoani DSM mwaka jana.
Akitoa taarifa ya utendaji ya benki hiyo kwa mwaka jana, mkurugenzi mtendaji wa DCB, EDMUND MKWAWA amesema shilingi bilioni 76.56 za mikopo hiyo zilitolewa kwa wajasirimali wadogo kupitia mikopo ya vikundi ambapo asilimia 80 ya vikundi hivyo vilikuwa vya wajasiriamali wanawake.







0 comments:
Post a Comment