Comments

AY alizwa namba ya simu kisha kutumiwa na mtu mwingine

 
Mtu asiyejulikana amehack namba ya Tigo ya AY na kuanza kuwaomba mamilioni watu wake wa karibu. 

AY ambaye kwa sasa yupo jijini Nairobi, Kenya, ameiambia wazo hai kuwa anashangaa kugundua kuwa namba yake ya simu inapatikana wakati chip anayo yeye na haipo kwenye simu.


Fundi Frank ni miongoni mwa marafiki wa AY walioombwa fedha na mtu huyo


Kuna mtu amehack namba yangu ya Tigo anaomba watu pesa

— Ambwene AY (@AyTanzania) January 12, 2015


Niko Kenya line yangu iko off but nashangaa huko Tanzania iko ON na inatumika

— Ambwene AY (@AyTanzania) January 12, 2015

Kufuatia tukio hilo, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameziagiza mamlaka husika kufuatilia haraka jambo hilo.


“@Tigo_TZ: @JMakamba @AyTanzania tunalipeleka swala hili kwenye idara husika lifanyiwe uchunguzi.”>>>lipatiwe ufumbuzi.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos