Comments

Christiano Ronaldo amuacha mpenzi wake Irina Shayk


Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameachana na mpenzi wake raia wa Urusi, Irina Shayk. 



Wawili hao wamedumu kwa kipindi cha miaka mitano

.

“Tunathibitisha kuwa Irina Shayk amevunja uhusiano wake na Cristiano Ronaldo,” mwakilishi wake aliiambia Page Six jana.



Tetesi za kuachana kwa mastaa hao zilianza kuvuma baada ya Shayk kutoonekana akiwa na Ronaldo kwenye tuzo FIFA Ballon d’Or jijini Zurich Jumatatu.

Badala yake mchezaji huyo alisindikizwa na mama yake, Maria Dolores dos Santos Aveiro, na mwanae Cristiano Jr aliyezaa na mwanamke asiyejulikana.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos