Comments

Madee amkashifu Lundenga kwenye ngoma mpya , ‘hao Ma-miss wazee kama vipi mwaka kesho namleta bibi yangu

Wimbo mpya wa Madee ‘Vuvula’ haukuishia kumchana Chidi Benz peke yake, upo mstari mwingine ambao unamlenga Mkurugenzi wa LINO International Agency ambao ni Waandaaji wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga 

Mstari huo unasema: “Hey Anko Lunde, hao Mamiss wazee kama vipi mwaka kesho namleta bibi yangu agombee.” 

“Kuna tatizo lilitokea lilipita kuhusu mamiss nini, so nimejaribu kumwelewesha tu ambaye ni Vuvula ajaribu kuwa makini baadae akiwa anasajili mamiss wake”. Alisema Madee alipokuwa akielezea maana ya wimbo wake.

Madee aliwahi kusema kupitia moja ya vituo vya radio kuwa maana ya Vuvula ni “mtu mshamba ambaye hajielewi.”

So Madee, unamaanisha Anko Lunde ni Vuvula? Lol!

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos