Comments

Kundi la P Unit Lavunjika

 
Kwa mujibu wa standard Digital,member wa kundi hilo liloundwa mwaka 2007 kila mmoja, ameanza kufanya kazi zake kama solo project.

Frasha anatarajia kuzindua project yake ijumaa hii,huku Gabu na Bon Eye wakifuatiwa pia.

P Unit ambao pia ni washindi wa tuzo za chanel 0 walifanikiwa kutoa album yao ya kwanza mwaka 2010 ambayo ilibeba hits kama Kare,Hapa Kule,Kushoto Kulia,Hapa Kule na zingine nyingi ambazo ziliwatambulisha zaidi afrika mashariki
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos