Comments

Uhusiano Wa Tanzania na Msumbiji Wazidi kudumishwa



Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amehudhuria kuapishwa Rais wa tano mpya wa msumbiji Felipe Nyusi na kusisitiza kuendelea kuimarishwa uhusiano baina ya nchi mbili hizo.

 

Nyusi aliapishwa rasmi jana mjini Maputo kuanza kuongoza kama rais wa 5 wa Msumbiji. Kikwete amesema alipozungumza na Rais Nyusi kwamba uhusiano wa Tanzania na Msumbiji ni wa kidugu kwa hivyo utaendelea kudumishwa kwa manufaa ya pande mbili.

Felipe Nyusi ameingia madarakani akimrithi rais Armando Guebuza baada ya kujinyakulia asilimia 57 ya kura na kumwangusha mpinzani wake kiongozi wa chama cha Renamo Alfonso Dhlakama katika uchaguzi wa rais uliofanyika Oktoba 15 mwaka jana.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos