“Faida ni kuepuka ule usumbufu ambao kabla hujamtambulisha wanawake tofauti tofauti walikuwa wanakusumbua. Na mpaka sasa hivi wanasumbua lakini nawaambia ‘bwana ingia Instagram angalia picha zangu then wanakuwa wapole,” Young Killer amesema
wa wameingia moyoni wako deep kabisa wanamtaka Young Killer nadhani kuna baadhi ya mashabiki wanakuwa wanapungua,” ameongeza.
Hata hivyo rapper huyo amedai kuwa kitendo cha yeye kumweka wazi mpenzi wake kimeonekana kama mfano kuigwa.
“Nilishawahi kukaa na msanii mwenzangu akawa anashauriwa kabisa kwamba ‘kwanini na wewe usiwe kama Young Killer, haya mambo ya mademu mademu mpaka lini, kuwa kama Young Killer demu wako mmoja na mambo mengine yanaendelea.”

0 comments:
Post a Comment