Mtoto wa kike wa mwigizaji maarufu wa action movie Sylvester Stallone (RAMBO) SISTINE mwenye umri wa miaka kumi na sita ni anataka kujijengea umaarufu wake mwenyewe kupitia ulimwengu wa wanamitindo.
SISTINE amesema "nimerithi uchekeshaji na mbinu za kazi kutoka kwa baba yangu."
vilevile amemwita mama ambaye ni Jennifer Flavin (mwanamitindo msitafu) kuwa yeye ni kama winga wake."yeye ndo aliyenifundisha wema wangu,ubaya wangu,jinsi ya kutembea na jinsi ya kuwa mtu mwingine kwenye mavazi fulani aliniambia kuwa uwanamitindo ni sawa na kuigiza unatakiwa ubadilishe jinsi ulivyo na hutakiwi kuwa wewe kama wewe" SISTINE ameeleza .
Pia amesema kuwa kukua kama mtoto wa mtu maarufu kumemfunza kuwa anatakiwa ajichunge vitu anavyofanya kwa sababu yanaweza yakamtokea puani .
Na amekiri kuwa baba yake amruhusu kuwa na mchumba na analiona kama tatizo kwake.







0 comments:
Post a Comment