Comments

Diamond atajwa kuwania kipengele cha ‘African Artiste of The Year’ kwenye Ghana Music Awards

               

Diamond atajwa kuwania kipengele cha ‘African Artiste of The Year’ kwenye Ghana Music Awards 
Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za 16 za Vodafone Ghana Music (Awards), VGMA 2015. 

Majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo yametajwa kwenye hoteli ya La Palm Royal Beach Hotel jijini Accra, jana Ijumaa, February 27. 

Diamond ametajwa kuwania kipengele cha msanii bora wa Afrika (African Artiste of The Year). 

Wasanii wengine watakaowania kipengele hicho ni pamoja na Tiwa Savage (Nigeria),AKA (South Africa), Don Jazzy & The Mavin Group, Patoranking (Nigeria) na Yemi Alade (Nigeria). 

Mshindi kwenye kipengele hicho atapatikana kwa 40% za kura za wananchi, 30% ya kura za Academy na asilimia 30 ya kura za Board.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos