Comments

Joti Mdebwedo awakonga nyoyo Wa-Nigeria, P-Square wakikubali kipaji cha chake wanaweza kumtafuta siku yoyote kuanzia sasa

P-Square wanaweza kumtafuta Joti siku yoyote kuanzia mwaka huu. Hiyo ni baada ya mmoja wa mapacha hao maarufu zaidi Afrika, Paul Okoye kupost kipande kifupi cha Joti akicheza wimbo wa Koffie Olomide kwa style iliyomvutia. 

Paul ameipata video hiyo kutoka kwenye akaunti ya Instagram iitwayo ‘Nigeriagirlskillingit’.

Hahahahahaha i can’t wait for psquare to start dancing like this,” ameandika Paul na kuambatisha na emoji zinazocheka hadi machozi.

Kwa utani utani hivyo Joti anaweza kuwa amejipatia mashabiki wapya kutoka Nigeria.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos