Comments

Listen/Download | NEW AUDIO: Linex (@linexsunday) ft. Diamond (@diamondplatnumz) – SALIMA

Linex akimshirikisha Diamond Platnumz katika wimbo wake mpya salima ambao leo hii ameuachia katika media mbalimbali, Video na audio ametoa kwa pamoja, linex anaonekana kutulia sana katika
wimbo huu, kama kawaida yake ametumia lugha 3 ndani ya wimbo, amepanga mashairi mazito yenye hisia hakika wimbo upo sawa, na utunzi na ghani za mashairi yamepangiliwa katika ubora wa aina yake, lugha imetumika kihufasaha wimbo ni mzuri kwa ujumla ukiusikiliza hasa pale Diamond Platnumz alipofuata nyayo za uimbaji wa linex……….. ametumbukiza maneno ya kilugha kama afanyavyo linex katika kila nyimbo zake anazoimba hakika Diamond ameutendea haki wimbo huu, wimbo unagusa nyoyo za watu…..wimbo unagusa hisia……na tena wimbo unaweza ukakutoa machozi..! welldone Linex….welldone Diamond….welldone team nzima na management inayomsimamia Linex kufanikisha kuutoa wimbo huu

Video – linex ft diamond – Salima

Video ya wimbo huu ni ya kuvutia sana, pongezi kubwa sana kwa aliyeandaa siclipt za video hii, video inatazamika kwa kila rika, video hii……natumaini inaweza kutumika na baraza la mitihani ya taifa ya kidato cha nne ama cha sita kuwatengenezea maswali kwa somo la Kiswahili….sitashangaa nikiona wimbo wa salima wa linex ikiwa mojawapo ya maswali ya mtihani wa ngazi ya taifa, its fantastic video!……natumaini video hii itafanya vizuri zaidi hasa nje ya nchi yetu kwani ni video inayoonyesha uhalisia wa kitanzania kabisa…………… hakika linex pamoja na Diamond Platnumz wamefanya kazi kubwa na wavutia kwenye hii video, Pongezi za ziada ziende kwa AJ ( huyu ni Adam Juma) amefanya kazi ya ziada kwa kushuti kwa ustadi wa hali ya juu video hii…..kwakweli naweza kusema hii ndio video bora kwangu kwa mwaka huu 2015 ingawa mwaka haujaisha nimependa sana rangi nan a visa vilivyomo kwenye wimbo huu video ina mafunzo nani nzuri sana!!!…..big up Adam Juma.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos