Comments

Nikki Mbishi atoa sababu za kubadili uamuzi wa kuacha muziki, kutoa wimbo mpya March 4

Rapper Nikki Mbishi ambaye aliuanza mwaka 2015 kwa kufanya uamuzi uliowashtua mashabiki wengi wa Hip Hop baada ya kutangaza kuacha muziki, ametangaza kuachia ngoma mpya wiki ijayo.

Baada ya kuulizwa sababu zilizomfanya abadili uamuzi wake na kuendelea kufanya muziki hizi ndio sababu alizozitoa, “Nimegundua kwamba bado watu wananidai vitu vingi sana ngoja kwanza labda nimalizane nao,” Nikki alisema 

“Nimeona response yao ambao walikuwa positive, nimeona watu wangapi niliwa disappoint nimeona watu wangapi yaani wamepoteza ari yao ya kushabikia muziki, vitu kibao. Kwahiyo wakongwe wenyewe wazee wameongea vitu kibao vimetokea kwahiyo ngoja tuone kinachowezekana.”

Ngoma mpya ya Nikki Mbishi itatoka Jumatano ijayo (March 4) ambayo pia itakuwa ni birthday yake.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos