Comments

Ona maajabu: mtoto wa miaka 3 anayeweza kufanya hesabu za sekondari, kuongea kiingereza na kuwafundisha form 1.

Mtoto mwenye miaka 3 anaitwa Nice kutoka katika kijijini cha Kiteto huko Manyara ana uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari na nyingine ngumu kwa uwezo wa
kutisha na kuongea kiingereza fasaha kabisa bila kigugumizi.

Ukimuongelesha kiswahili anakwambia 'Please speak english'. Cha kushangaza zaidi ni kwamba tangu azaliwe hajawahi kwenda shule au kuhudhuria darasa la aina yoyote. 

Na kama ujuavyo mazingira ya kijijini watu huzungumza lugha ya eneo husika lakini yeye ameweza kuongea kingereza bila kujua wapi amejifunza. 

na unaambiwa wakati mwingine huwafundisha wanafunzi wa form 1.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos