Comments

Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema Zitto ni mbunge halali hivyo aendelee kulitumikia Taifa

Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema hawezi kumtangaza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kuwa siyo mbunge hadi atakapopata barua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), 

Makinda ameongeza kuwa hawezi kufanyia kazi taarifa za kwenye vyombo vya habari, badala yake anasubiri taarifa za kiofisi kutoka NEC. 

Kwa upande wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa, amesema bado hawajaandika barua kuiarifu Nec, kwa kuwa hilo siyo jambo kubwa ambalo chama kinapaswa kuhangaika nalo kwa sasa
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos