Comments

Wanafunzi 9824 wachanguliwa awamu ya pili kujiunga kidato cha kwanza Dar es salaam

Wanafunzi 9,824 katika mkoa wa DSM wamechaguliwa katika awamu ya pili kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini DSM Afisa Elimu taaluma mkoa wa DSM, KIDUMA MAGENI amesema idadi hiyo inaongeza idadi ya wanafunzi waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2015 kwa mkoa wa DSM na kufikia 46,434 ambayo ni sawa na ufaulu wa asilimia sabini na tisa.

MAGENI amesema wazazi wawawepeleke kujiandikisha mara moja wanafunzi wote waliochaguliwa na kuwasisitiza wakuu wa shule za sekondari kuandaa utaratibu wa kuwapokea wanafunzi hao ikiwa ni pamoja na kutoa masomo ya ziada kwa wanafunzi hao.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

New Hope Company. Powered by Blogger.

Facebook

Wazo Hai

Search This Blog

Blog Archive

Flickr

Social Share

Featured
Featured

Labels

Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

TANGAZA NASI HAPA

East Africa Radio Live Here

Tags

Fashion

Sponsor

Videos