big sean ameendelea kupanda chati baada kuachia nyimbo zake tatu ukiwemo ule wa "I Don't F*** with You," na blessing ambao amewashirikisha kanye west na drake.
big sean kwenye baadhi ya mistari ametoa heshima kwa bibi yake aliyekufa mwaka 2014 n albam yake inatarajia kutoka tar. 24.02.2015








0 comments:
Post a Comment